KTN Leo: Ajira ya wakenya Uarabuni

Added on July 07, 2012
Share this video on:
Nchi ya Saudi Arabia inapotajwa nchini Kenya huleta taswira mbili kwanza ya tabasamu kwani ndio kitega uchumi kwa wengi na huzuni kwani imeacha makovu katika nyoyo za wakenya wengi waliosafiri huko. Lakini hivi karibuni serikali ilipiga marufuku usafiri wa nchi za Uarabuni hadi pale itakaposuluhisha swala la dhuluma miongoni mwa wakenya wanaofanya kazi huko. Lakini swala la serikali kutoa mikakati ya kuwahamisha wale waliosalia huko na kupitia mateso limesalia kuwa kitendawili na hii leo KTN imelivalia njuga swala hili na kupata picha za kipekee ambazo ziliweza kutumwa na wakenya waliozuiliwa katika vituo kadhaa, Saudi Arabia. Je nani atakuwa mkomboziwao? Huku kilio chao kikiwa ni serikali kuwarudisha humu nyumbani.
Last Modified: 07 Jul 2012 20:46
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-05-2013 06:03 EAT

On Air: Sunrise Live

UpNext »»

09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon
11:00Kenya Kona Rpt
12:00Just for laughs rpt
12:30Pasua rpt
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus