Tishio la mgomo wa walimu limetangazwa hivi leo tena, pale chama cha walimu wa sekondari na vyuo – kuppet kilipotangaza ilani ya mgomo mwanzo wa muhula wa tatu ikiwa serikali itazidi kuwalipa walimu mishahara duni inayokinzana na watumishi wengine wa umma. Ni tangazo linalokuja wakati mkutano wa siku mbili utakaohudhuriwa na wabunge na wadau wengine wa elimu kuhusu mabadiliko kwenye sekta ya elimu unaanza kesho huko Naivasha