Milcah Chemos Cheywah ni mwanariadha aliyeweza kushamiri katika mashindano tofauti ya riadha yakiwemo ya Bara Afrika na ya Dunia.Lakini anacho kikosa ni medali ya Olimpiki.Mwanahabari Victor Ogale alizuru kambi ya Kasarani na kuandaa taarifa ifuatayao.