Kikosi cha kwanza cha washiriki wa Kenya katika Olimpiki kinachojumuisha wana ndondi na wanariadha wa mbio fupi waliabiri ndege kuelekea Bristol kwa matayarisho zaidi ya Olimpiki.Huku hayo yakijiri, baadhi ya wanariadha wa mbio fupi walitmwa kikosini.