KTN Leo: ICC yakubaliana na Uhuru kuhusa ushahidi

Added on July 03, 2012
Share this video on:
Afisi ya kiongozi wa mashtaka wa mahakama ya ICC na naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta wameafikiana kuhusu mfumo utakaotumiwa kutoa ushahidi ulio mikononi mwao kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi dhidi yake. Hata hivyo aliyekuwa mkuu wa utumishi kwa umma Francis Muthaura amepinga mapendekezo yaliyotolewa na kutaka arafa zote katika stakabadhi za ushahidi kujumuishwa. Nao upande wa mashtaka umepinga wito huo kwa kusema kuwa hilo haliwezekani hadi pale kesi hiyo itakapoanza kusikilizwa.
Last Modified: 03 Jul 2012 20:40
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-05-2013 21:19 EAT

On Air: KTN Weekend Prime

UpNext »»

21:50Mariana and Scarlet
22:50Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus