KTN Leo: Uporaji: Askari Afikishwa Mahakamani

Added on July 02, 2012
Share this video on:
Baada ya KTN kupeperusha taarifa ya jamaa mmoja aliyedai aliporwa fedha zake alipokuwa akitoka benki na watu wanne waliokuwa polisi hii leo mmoja wa washukiwa alifikishwa mahakamani kusikiza mashtaka dhidi yake huku Mahakama ikimuamuru kurudi tena siku ya ijumaa, huku hayo yakiarifiwa KTN imebaini kwamba takriban watu ishirini walifika katika kituo cha Polisi cha viwandani kulalamikia kuporwa baada ya kuiona taarifa ya Crispin Ochieng’ siku ya Ijumaa
Last Modified: 02 Jul 2012 19:31
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 10:36 EAT

On Air: Straight-Up

UpNext »»

12:30Africa speaks
13:00Lunch Time News
13:35NBA Highlights
14:00NBA Basket Ball
15:00Sports Final
16:00Mbiu ya KTN

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus