1 KTN Video | Shambulizi La Garissa

KTN Leo: Shambulizi La Garissa

Added on July 02, 2012
Share this video on:
Kamishna wa Polisi Mathew Iteere amepinga madai kuwa Idara ya Usalama ilifahamu kuhusiana na shambulizi la jana na ikakosa kuchukua hatua mwafaka. Iteere amesema kuwa maafisa wa polisi walikuwa tayari wameshika doria katika maeneeo yaliyolengwa ili kuimarisha usalama. Idara hiyo imepata utetezi kutoka kwa Waziri Mkuu Raila Odinga ambaye amesema kuwa iwapo mauaji ya maafisa wawili wa polisi katika shambulizi hilo ni ishara kwamba hatua zilikuwa zimechukuliwa.Waziri Mkuu pia ametangaza kuwa mashambulizi yanayoendelea hayatofanya serikali kuoondoa majeshi yake kutoka nchini Somali wala kuingia hofu.
Last Modified: 02 Jul 2012 19:27
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-05-2013 17:02 EAT

On Air: Samantha Bridal Show

UpNext »»

18:00Property show
18:30KTN Leo
19:30Jaramanda la Uhalifu
20:00Kenya Kona
21:00KTN Weekend Prime
21:50Mariana and Scarlet

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus