1 KTN Video | UN: Kongamano La Vijana Wa Bara Africa

KTN Leo: UN: Kongamano La Vijana Wa Bara Africa

Added on July 02, 2012
Share this video on:
Kongamano la siku tatu la vijana wa Bara La Afrika limefunguliwa leo Gigiri, katika makao makuu ya umoja wa mataifa hapa jijini Nairobi. Maudhui makuu ya kongamano hilo ni mbinu za vijana kujitolea kudumisha amani na kuimarisha maendeleo barani Afrika. Shirika la Standard Group limeshirikiana na Wadau wengine kufanikisha Kongamano hilo linalohudhuriwa na washiriki kutoka Kaunti zote arobaini na saba nchini, pamoja na wageni kutoka nchi za Bara la Afrika, vijana humu nchini wakitakiwa kudumisha amani wakati huu Kenya inapokaribia Uchaguzi mkuu.
Last Modified: 02 Jul 2012 18:57
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-06-2013 21:59 EAT

On Air: Love 101

UpNext »»

22:30Nigerian Idol
23:15Kick off Bundesliga
23:59Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus