1 KTN Video | Wanariadha wajiandaa kwa Olympics

Sports: Wanariadha wajiandaa kwa Olympics

Added on July 01, 2012
Share this video on:
Wanariadha wote wa Kenya ambao wanajiandaa kwa mashindano ya olimpiki wamefika kwenye kambi ya mazoezi kasarani. Na kujiunga na kocha mkuu Julius Kirwa, mazoezi rasmi yataanza jumatatu katika uwanja wa kasarani. Lakini huku timu ya Kenya ikijiandaa, swala tata la baadhi ya wanariadha kutakikana kusafiri siku ya jumanne hadi Bristol, Uingereza bado halijatatuliwa.
Last Modified: 01 Jul 2012 22:41
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 21:20 EAT

On Air: KTN Prime

UpNext »»

21:50KNICE
22:30Football Review
23:00Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus