KTN Leo: Askari wezi

Added on June 30, 2012
Share this video on:
Afisa mshukiwa wa wizi wa mabavu ametiwa nguvuni hii leo baada ya ktn leo kuangazia taarifa hio kupitia simulizi la crispin otieno aliyeibiwa shillingi elfu tisini.afisa alimshinikiza otieno kuingia ndani ya gari na kumpora pesa hizo kabla ya kumrusha nje ya gari eneo la ole sereni.otieno alimtambua mshukiwa baada ya maafisa wa polisi kupangwa folen katika kituo cha polisi cha i eneo la viwandani na kutakiwa kumtambua mshukiwa.lakini otieno anasema ni maafisa wa wachache tu wlaiofikishwa mbele yake na washukiwa wengine wanne bado wako huru.purity mwambia amekuwa akifuatilia taarifa hiyo
Last Modified: 30 Jun 2012 21:35
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-06-2013 09:09 EAT

On Air: Mid Morning Lifestyle

UpNext »»

10:00El Clon rpt
11:00Tujuane
12:00DW shift
12:30Perspective rpt
13:00News Desk
13:30Kick off Bundesliga

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus