Huku mjadala ukiendelea iwapo wagombezi wa nyadhifa mbali mbali wanapaswa kuwa na shahada au la sasa mahakama kuu imeonekana kukomesha mzizi wa fitina kwa kutoa maamuzi kwamba wagombezi wote iwe ni rais au gavana ni sharti wawe na shahada kuambatana na kanuni ya katiba mpya