KTN Leo: Nyong'o apuuza sakata ya NHIF

Added on June 29, 2012
Share this video on:
Waziri wa huduma za afya Proffessa Anyang’ Nyongo amepuuzilia mbali sakata inayohusishwa na ufujaji wa fedha katika bima ya afya ya kitaifa NHIF . Nyongo anasema kuwa sakata hiyo imebuniwa na watu wanaotaka kuvuruga utenda kazi katiika bima hiyo . Akizungumza katika hospitali kuu ya kenyatta katika hafla ya k upewa kwa hospitali hiyo hati ya iso Nyong’o amedai kuwa hakuna mfanyikazi wa umma hata mmoja aliyejitokeza kulalamika kuhusu utendakazi wa nhif .
Last Modified: 29 Jun 2012 21:28
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-06-2013 01:18 EAT

On Air: CNN

UpNext »»

06:00Sunrise Live
09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon rpt
11:00Tujuane
12:00DW shift
12:30Perspective rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus