KTN Leo: Maafisa wa polisi wamwibia mfanyibiashara.

Added on June 29, 2012
Share this video on:
Maafisa wa polisi wanaidaiwa kumuibia mfanyabishara mmoja shillingi elfu tisini dakika chache baada ya yeye kutoa fedha hizo kutoka kwa benki moja eneo la viwandani.mfanyabaishara huyo crispin otieno anawafahamu maafisa hao ambao hadi sasa hawajachukuliwa hatua yeyote .licha ya kuandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha viwandnai anasema hakuna hatua zilichokuliwa.maafisa wa polisi katika kituo hicho wamerufu ktn leo kwamba bado wanaendeleza uchunguzi wao.otiene kwa sasa anahofia usalama wake ,na swali kuu anauliza afisa wa polisi aliyetwikwa jukumu la kulinda watu atageuka vipi kwua mwizi?
Last Modified: 29 Jun 2012 21:20
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-06-2013 00:38 EAT

On Air: CNN

UpNext »»

06:00Sunrise Live
09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon rpt
11:00Tujuane
12:00DW shift
12:30Perspective rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus