KTN Leo: Haji awaonya wanasiasa kutoeneza uvumi

Added on June 29, 2012
Share this video on:
Kaimu waziri wa usalama wa ndani mohamed Yusuf Haji amewataka wanasiasa kukoma kueneza uvumi kuhusu kilichosababisha ajali ya ndege iliyowaua mawaziri George Saitoiti, Orwa Ojode pamoja na maafisa wanne wa polisi. Haji ametoa mwito kwa yeyote mwenye habari kuhusu ajali hiyo kuiwasilisha kwa tume iliyobuniwa kuchunguza ajali hiyo. Aidha, Haji amepinga madai eti uchunguzi wa ajali hiyo umecheleweshwa huku akisema mabaki ya ndege hiyo aina ya helikopta yataondolewa eneo la ajali wiki ijayo.
Last Modified: 29 Jun 2012 21:07
RSS Feeds

Programme Schedule: 23-05-2013 01:41 EAT

On Air: CNNCNN

UpNext »»

06:00Sunrise Live
09:00Mid Morning Lifestyle
10:30Mariana and Scarlet
11:20World Strongest man
12:00Drive It
12:30Case files

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus