KTN Leo: Balozi wa Marekani Nchini Ajiuzulu

Added on June 29, 2012
Share this video on:
Balozi wa Marekani Nchini Scott Gration amejiuzulu. Gration amejiuzulu kutokana na tofauti kuibuka mjini Washington kuhusu mbinu yake ya uongozi. Mnamo tarehe 28 mwezi huu Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi uliadhimisha sherehe ya washoga sherehe ambayo ilikuwa ya kwanza kuwahi kufanyika nchini. Adhimisho hilo ambalo ni sehemu ya sera za uongozi wa Raisi Obama kutetea haki za mashoga limekashifiwa vikali na viongozi nchini Kenya. Mary Kilobi ana zaidi.
Last Modified: 29 Jun 2012 16:58
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 14:53 EAT

On Air: Afri Screen

UpNext »»

16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Prem
18:30KTN Leo
19:30Business Focus

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus