KTN Leo: Henry Kosgey Aondolewa Mashtaka

Added on June 28, 2012
Share this video on:
Henry Kosgey sasa ameondolewa mashtaka yaliyohusiana na madai ya kuingizwa kwa magari makuukuu humu nchini ,Mahakama imesema kwamba wakati alipoidhinisha kuagizwa kwa magari hayo sheria kuhusiana na uzee wa magari haikuwa imeanza kutumiwa.hatua hii sasa inamfufua kisiasa na inawadia wakati ambapo amekuwa akimshinikiza Raila Odinga kumteua kama mgombeaji mwenza.swali tunaloliuliza ni iwapo chama cha ODM sasa kitampa wadhifa huo?
Last Modified: 28 Jun 2012 19:48
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 23:22 EAT

On Air:

UpNext »»

23:59Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus