KTN Leo: Nyimbo Zinazohatarisha Kuwagawanya Wakenya

Added on June 26, 2012
Share this video on:
Huku Kenya ikikaribia uchaguzi mkuu ujao, tetesi zimechipuka kwamba wapo baadhi ya wasanii wanaotunga nyimbo zinazohatarisha kuwagawanya Wakenya kwa misingi ya kupalilia kwekwe za uhasama. Kutokana na hilo Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa( NCIC) inayoongozwa na Mzalendo Kibunjia imetoa onyo kali kwamba itawachukulia hatua kali wanamuziki wa aina hiyo pamoja na vyombo vya habari vitakavyoshiriki katika kuzipeperusha nyimbo hizo.
Last Modified: 26 Jun 2012 19:52
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 05:16 EAT

On Air: CNNCNN

UpNext »»

06:00Sunrise Live
09:00Mid Morning Lifestyle
10:30Mariana and Scarlet
11:20World Strongest man
12:00Drive It
12:30Case files

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus