KTN Leo: Familia Ya Saitoti Kuhusu Uchunguzi Wa Ajali

Added on June 26, 2012
Share this video on:
Familia ya marehemu Prof. GeorgeSaitoti kupitia wakili wao Fred Ngatia imelalamikia vikali kucheleweshwa kwa uchunguzi wa ajali ya helikopta iliyomuua Saitoti pamoja na naibu wake Orwa Ojode mnamo Juni tarehe kumi mwaka huu wa 2012. Lalama hizo zimejitokeza pale wakili huyo pamoja na nduguze marehemu Saitoti walipotembelea eneo la mkasa huo katika Kibiku katika msitu wa Ngong.
Last Modified: 26 Jun 2012 19:29
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 18:36 EAT

On Air: KTN Leo

UpNext »»

19:30Pasua rpt
20:00Guiness Football Challenge
21:00KTN Prime
21:30Perspective
21:50Love 101
22:30Nigerian Idol

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus