KTN Leo: Ardhi Yaporomoka Uganda

Added on June 26, 2012
Share this video on:
Zaidi ya nyumba kumi na tano zimefunikwa kutokana na kuporomoka kwa ardhi katika sehemu ya Bugisu karibu na mpaka wa Kenya na Uganda. Idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko hayo bado haijadhibitishwa. Hata hivyo inahofiwa kuwa idadi kubwa ya wakaazi wa sehemu hizo imeangamia kwenye mkasa huo.
Last Modified: 26 Jun 2012 18:21
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 14:34 EAT

On Air: Afri Screen

UpNext »»

16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Prem
18:30KTN Leo
19:30Business Focus

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus