Bajeti ya kikosi cha Kenya kitakachoelekea London Uingereza kwa kwa mashindano ya olimpiki ni zaidi ya shilingi nusu bilioni. Hata hivyo serikali ilikuwa itoe shilingi milioni mia mbili huku shirikisho la olimpiki nchini likiwachwa na jukumu la kutafuta hela zilizosalia