KTN Leo: Serikali kuhusu mashambulizi nchini

Added on June 25, 2012
Share this video on:
Mlipuko wa grunedi uliofanyika huko Mshomoroni- Mombasa, umeiweka serikali katika hali ngumu ya kujaribu kuwashawishi wananchi na wageni kuhusu usalama wao. Waziri Mkuu Raila Odinga amesema kuwa tahadhari iliyotolewa na serikali ya Marekani kuhusu shambulizi hilo ishara kuwa idara ya ujasusi nchini Marekani ni ya kiwango cha juu. Frank Otieno anadadisi hali hiyo inayozua swali la je, serikali ilipopuuza onyo la Marekani na kisha grunedi likalipuka na kuwaua watu watatua,Wakenya waeleweje kuhusu usalama wa nchi yao?
Last Modified: 25 Jun 2012 20:03
RSS Feeds

Programme Schedule: 24-05-2013 09:25 EAT

On Air: Mid Morning Lifestyle

UpNext »»

10:30Mariana and Scarlet
11:20National Geographic
12:00Tomorrow Today
12:00Living with Fran (Sitcom)
12:30Ajabu
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus