Sports: Kikosi cha Kenya kuelekea London kwa matayarisho ya Olympics

Added on June 24, 2012
Share this video on:
Vikundi vinne vya kikosi cha Kenya cha olimpiki vitaondoka nchini julai 3 kuelekea jiji la Bristol nchini London kwa mazoezi maalumu mbele ya kuanza kwa mashindnao ya olimpiki julai 27. Timu ya mita 800, mita 1500, wana ndondi na wanariadha wa mbio za 4x400 relay zitaondoka julai tarehe tatu. Kikosi cha marathon ya wanaume kitakuwa wa mwisho kuondoka agosti 7. Hayo yalitangazwa wakati kambi ya mazoezi ilipofunguliwa rasmi na waziri wa michezo, Paul Otuoma.
Last Modified: 24 Jun 2012 20:50
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-06-2013 15:13 EAT

On Air: Afri Screen

UpNext »»

16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Hollywood Heights
18:30KTN Leo
19:30Pasua rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus