KTN Leo: Kenya yashtumu onyo la Marekani kuhusu usalama

Added on June 24, 2012
Share this video on:
Viongozi wakuu mbalimbali humu nchini wameshutumu vikali marekani kwa kutoa tahadhari kuwa mji wa Mombasa unatishiwa kushambuliwa kigaidi wakati wowote. Viongozi wa Kenya miongoni mwao makamu wa rais Kalonzo Musyoka, waziri wa utalii Dan Mwadzo na kaimu mkuu wa utumishi wa umma Francis Kimemia sasa wanataka marekani kufutilia mbali tahadhari hiyo na watangaze kuwa Mombasa na Kenya kwa jumla i salama.
Last Modified: 24 Jun 2012 20:45
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 20:52 EAT

On Air: Tujuane

UpNext »»

21:00KTN Prime
21:50KNICE
22:30Football Review
23:00Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus