KTN Leo: Mazishi ya Kapteni Luke Oyugi

Added on June 21, 2012
Share this video on:
Eneo bunge la Ugenya leo ndilo lilikuwa mwenyeji wa kumpa mkono wa buriani mmoja wa waathiriwa wa ule mkasa wa ajali ya ndege wa wiki iliopita. Kapteni Luke Oyugi alipewa heshima za mwisho zinazopewa maafisa wa polisi, katika mazishi hayo ambayo licha ya kutokuwa na wanasiasa, yalihudhuriwa na wakuu kadhaa wa polisi. Oyugi, alikuwa rubani msaidizi wa ile helikopta ya polisi ilioanguka na kuwaua Waziri wa Usalama Prof George Saitoti na Naibu wake Orwa Ojode. Mazishi ya oyugi yalifanyika huku chama cha marubani humu nchini leo kikitoa mwito wa kutaka kujumuishwa katika lile jopo la kuchunguza ajali hiyo. Jopo hilo lilikula kiapo hapo jana.
Last Modified: 21 Jun 2012 20:52
RSS Feeds

Programme Schedule: 18-05-2013 20:09 EAT

On Air: El Clon

UpNext »»

21:00KTN Weekend Prime
21:50Box Office Movie: Someone Like you
23:00NBA Highlights rpt
23:30Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus