1 KTN Video | Simba walipiza kisasi Kitengela

KTN Leo: Simba walipiza kisasi Kitengela

Added on June 21, 2012
Share this video on:
Unaweza kusamehewa unaposhuku ni ulipizaji kisasi. Simba wawili walikivamia kijiji kimoja, huko Kitengela, karibu na eneo ambalo jana simba sita waliowawa na vijana wa Kimoran. Kondoo wawili waliuawa katika uvamizi huo hii leo, huku wengine wanne wakiachwa na majeraha. Idara ya wanyama pori imepewa ilani ya kutatua uvamizi wa wanyama pori, la sivyo wenyeji wameamua watachukua sheria mikononi mwao.
Last Modified: 21 Jun 2012 20:46
RSS Feeds

Programme Schedule: 26-05-2013 07:58 EAT

On Air: Joyce Meyer Ministries

UpNext »»

08:00Family Glory
09:00Tukuza Live Gospel Show
13:00News Desk
13:30Sunday Animated classics
15:00Glamorosa
16:00Mbiu ya KTN

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus