KTN Leo: Usumbufu wa Ndovu

Added on June 21, 2012
Share this video on:
Mbuga ya Wanyama Tsavo, imechukua zaidi ya asilimia 60 ya jumla ya ardhi ya Jamii ya Wataita, kando na hilo mgogoro kati ya wanyama na wanadamu umekithiri kiasi kwamba wakazi wanadai serikali inathamini wanyama kuliko wao. John Juma alizuru maeneo hayo na anafichua machozi shubiri ya raia kutokana na usumbufu wa Wanyama pori hasa Ndovu.
Last Modified: 21 Jun 2012 19:44
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-05-2013 02:07 EAT

On Air: CNN

UpNext »»

06:30A moment with God
07:30Joyce Meyer Ministries
08:00Family Glory
09:00Tukuza Live Gospel Show
13:00News Desk
13:30Sunday Animated classics

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus