Baada ya mashindano ya riadha ya kitaifa wiki jana shirikisho la riadha nchini ak limetuea kikosi cha wanariadha thelathini kuelekea nchini benin kwa mashindano ya riadha ya bara afrika. Hata hivyo baadhi yawanariadha walitumia mashindano hayo kujipima nguvu huku wengine wakiangazia mashindano ya kufuzu kwa olimpiki jumamosi wikii hii.mwanahabari victor ogale na taarifa zaidi.