Ni baba, rafiki na daktari. Majukumu aliyotwikwa na jamii kutokana na jitihada yake. Hii ni taarifa kuhusu daktari James Moyaie aliyezaliwa akiwa albino. Mwanahabari Saida Swaleh alishinda naye ili kuelewa jinsi alikwepa dhana na hata kejeli kutoka kwa walimwengu. Hivi sasa ni dakatari katika hospitali kuu ya Kenyatta.