KTN Leo: Mauaji Murang’a

Added on June 18, 2012
Share this video on:
Mwili wa mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45 ulipatikana katika nyumba yake jumamosi kwenye kijiji cha Kaaga kaunti ya Murang’a. Mwanamke huyu anaaminika kuuawa na majambazi ambao baada ya kutekeleza kitendo hicho cha uhaini walitoroka na baadaye kumpigia simu jirani yake kumfahamisha kuhusu walichokitenda.
Last Modified: 18 Jun 2012 10:19
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-05-2013 02:32 EAT

On Air: CNNCNNCNN

UpNext »»

06:00Sunrise Live
09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon
11:00Kenya Kona Rpt
12:00Just for laughs rpt
12:30Pasua rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus