Alex ole Magelo amechaguliwa tena kama mwenyekitit wa klabu ya AFC Leopards huku winstone kituyi akichaguliwa kama kaimu wake katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo katika uwanja wa michezo wa nyayo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo maafisa hao wapya wananuia kufanya mabadiliko katika katiba ya klabu hiyo kando na kuongeza muda wa maafisa hao. Mwanahabari Victor Ogalle alihudhuria uchaguzi huo na kuandaa taarifa ifuatayo.