http://ktnkenya.tv
Ni kutokana na kilio cha wasanii wa humu nchini kulipelekea kubuniwa kwa shirika litakalo shughulikia maslahi yao sasa wasanii wamejitokeza kuwania viti tofauti katika muungano wa music copy rights of Kenya Msk baada ya miaka 7 nchini marekani bamboo amerejea tena kwa mengi ni katika cheche za burudani naye Peter Adams