Matayarisho yote yamekamilika eneo la ndiwa ambako maazishi ya aliyekuwa waziri msaidizi Orwa Ojode yatakapofanyika , hii leo wenyeji walipata tu fursa ya kutizama jeneza la orwa ojode na wale sio mwili wake na kusababisha majonzo mengi kughubika eneo hilo , Fred Omulo anatupa taswira kamili kutoka ndhiwa