Mtazamaji kunazo aina nyingi za usafiri ikiwemo ndege , magari barabarani , gari moshi na kadhalika .. Lakini kunao usafiri ambao umetumika na wengi zaidi katika sehemu ambazo usafiri wa gari ni nadra , usafiri wa pikipiki , hii leo tunaangazia pikipiki , uzuri wake na ubaya wake