Features: Kibirikizi cha Uzazi Tanzania: Sehemu ya Kwanza

Added on June 05, 2012
Share this video on:
Safari ya ulezi kwa mara nyingi huwa imekabidhiwa kina mama, lakini kwa wanaume kutoka Tanzania , wao wameipuuzilia mbali dhana hii kwa kuuonyesha ulimwengu mzima na haswa kenya kuwa ulezi sio wa kina mama pekee. Na kupitia miradi ya mashirika kamavile amref, mwanamume amefunzwa jinsi ya kujitolea ili kupunguza idadi ya wanawake wanaofariki kutokana na matatizo ya uzazi. Mwanahabari Saida Swaleh alizuru taifa la Tanzania na kutuandalia sehemu ya kwanza ya kibirikizi cha uzazi Tanzania.
Last Modified: 05 Jun 2012 18:09
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-05-2013 23:57 EAT

On Air:

UpNext »»

23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus