Timu ya raga ya UAP Rhinos ndiyo mabingwa wa mwaka huu wa dimba la bamburi super series baada ya kuilemea dimension data Rwenzori kutoka Uganda alama 25-14 katika uwanja wa RFUEA. Rhinos sasa ni mabingwa wa taji hilo kwa mara ya sita na mara ya tano mfulululizo.