KTN Leo: Knut, Kuppet warn over EFP funds

Added on May 31, 2012
Share this video on:
Vyama vya walimu nchini vya Knut na Kuppet vimetishia kuitisha mgomo wa waalimu au kufungwa kwa shule za umma kufuatia hali ya sintofahamu inayokumba sekta ya elimu baada wizara ya fedha kushindwa kutoa fedha zinazofadhili elimu ya bure katika shule za msingi na shule za upili . Ukosefu wa fedha hizo zinazokisiwa kufika takriban shilingi bilioni tisa imepelekea kuzorota kwa masomo katika shule hizo.
Last Modified: 31 May 2012 11:35
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 23:03 EAT

On Air: NBA Highlights rpt

UpNext »»

23:30Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus