KTN Leo: Mwana wa waziri ajitia kitanzi

Added on May 17, 2012
Share this video on:
Familia ya waziri wa fedha Njeru Githae imepigwa na butwaa baada ya mwili wa mwanawe kupatikana chumbani mwake akiwa amefariki, aidha msemaji wa familia hiyo dakitari Githae alisema brian karanga mwenye umri wa miaka 26, alipatikana amefariki katika chumba chake huko runda aidha ripoti za polisi zasema mwili wake ulipatikana ukining’inia darini, chumbani mwake . Familia hiyo imesema itasubiri uchunguzi wa dakitari
Last Modified: 17 May 2012 21:54
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 22:16 EAT

On Air: KNICE

UpNext »»

22:30Football Review
23:00Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus