KTN Leo: KNUT yatoa ilani ya mgomo

Added on November 30, -0001
Share this video on:
Chama cha walimu nchini KNUT kimetoa ilani ya mwezi mmoja kwa serikali kutimiza ahadi yake ya kutoa nyongeza ya marupurupu ya 200% la sivyo walimu watagoma ifikapo tarehe 1/7/2012. Katibu mkuu wa KNUT David Okuta amesema ni sharti serikali kuwakumbuka waalimu katika makadirio ya kifedha ya mwaka 2012/2013 ili kutimiza mkataba huo walioafikiana mnamo mwaka wa 1997.
Last Modified: 30 Nov -0001 00:00
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 23:25 EAT

On Air: Spin circle

UpNext »»

23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus