Timu sita zimejikatia tiketi ya nusu fainali katika michezo ya kitaifa ya shule za upili katika mchezo wa vikapu na magongo baada ya kuandikisha ushindi wa pili mfululizo. Shule ya Laiser hill pamoja na kina dada wa Buruburu walikuwa miongoni mwa waliofuzu katika vitengo tofauti.
| 13:00 | News Desk |
| 13:30 | Sunday Animated classics |
| 15:00 | Glamorosa |
| 16:00 | Mbiu ya KTN |
| 16:10 | Glamorosa |
| 17:00 | Samantha Bridal Show |
|
| Loading... |