KTN Leo: Kisa cha afisa wa GSU

Added on November 30, -0001
Share this video on:
Mapema leo viongozi na wasomi kutoka maeneo ya Pokot wametoa makataa ya siku saba kwa kamishna wa polisi Mathew Iteere kueleza kuwachukulia hatua maafisa wa GSU, walionaswa katika ukanda wa video wakimtendea unyama mkubwa, kijana mmoja wa kipokot. Ktn leo imebaini kuwa kijana huyo kwa jina Joseph Loling'areng anaishi katika kijiji cha Chekata, huko Kwanza, na bado anauguza majeraha. Joseph alitendewa unyama huo, mwaka 2009, katika kambi ya GSU ya kerita.
Last Modified: 30 Nov -0001 00:00
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-05-2013 17:29 EAT

On Air: Samantha Bridal Show

UpNext »»

18:00Property show
18:30KTN Leo
19:30Jaramanda la Uhalifu
20:00Kenya Kona
21:00KTN Weekend Prime
21:50Mariana and Scarlet

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus