Tofauti zilionekana kuzuka kwenye kongamano la elimu lililokamilika jioni hii katika ukumbi wa jumba la mikutano la KICC. Kwenye kongamano hilo la siku tatu la kujadili ripoti ya jopo-kazi kuhusu mabadiliko ya elimu nchini kenya. Chama cha waalimu, Knut kilishutumiwa kufuatia msimamo wake wa kukataa mfumo mpya wa elimu uliopendekezwa humu nchini.
| 16:00 | Mbiu ya KTN |
| 16:10 | KTN Kids |
| 17:00 | IZ Vipi Mashariki |
| 18:00 | Prem |
| 18:30 | KTN Leo |
| 19:30 | Business Focus |
|
| Loading... |