Ni siku ya nne sasa tangu kutangazwa kuvumbuliwa kwa mafuta katika eneo la Turkana Kaskazini. Eneo la Lokichar sasa limekuwa ni mji wenye pilkapilka nyingi za kibiashara. Aidha wakaazi wameshinikizwa kuanza biashara zitakazowafaidi kutokana na kuwepo kwa visima vya mafuta kwenye eneo hilo.
| 13:00 | News Desk |
| 13:30 | Sunday Animated classics |
| 15:00 | Glamorosa |
| 16:00 | Mbiu ya KTN |
| 16:10 | Glamorosa |
| 17:00 | Samantha Bridal Show |
|
| Loading... |