KTN Leo: Kenya Cabinet reshuffle: Analytical view

Added on November 30, -0001
Share this video on:
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv Siasa ni mchezo wa nipe nikupe. Msemo unaowiana na yale mabadiliko ya baraza la mawaziri jana. Kulingana na wachambuzi, Rais Kibaki alitilia maanani suala la ICC, alipobadilisha mawaziri wa mrengo wa Pnu. Alitaka wandani wake ndio washikilie wizara muhimu zenye uhusiano na suala la ICC, ili wafuate mkondo anaoutaka. Kwa Raila Odinga- kumtimua Najib Balala, kunachambuliwa kama kuendeleza ile siasa yake ya usipofuata nyayo, utakiona cha mtema kuni. Kabla ya wino wa wachambuzi kukauka, dhana ikatiliwa pondo, na kuteuliwa kwa Ali Hassan Joho kama naibu waziri wa uchukuzi. Kwa ufupi wachambuzi wanasema Rais Kibaki na waziri mkuu waliangalia maslahi yao, walipofanya mageuzi hayo
Last Modified: 30 Nov -0001 00:00
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 19:58 EAT

On Air:

UpNext »»

20:00El Clon
21:00KTN Weekend Prime
21:50Box Office Movie: Someone Like you
23:00NBA Highlights rpt
23:30Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus