KTN Leo: Wadau wa elimu wapinga tarehe ya uchaguzi

Added on November 30, -0001
Share this video on:
Wadau katika sekta ya elimu wamepinga vikali pendekezo la kuandaa uchaguzi mwaka ujao kwa kudai kuwa mchakato huo utaathiri pakubwa utaratibu wa masomo. Chama cha walimu nchini KNUT na wasimamizi wa muungano wa KUPPET wameshtumu vikali tume ya IEBC kwa kudai kuwa tume hiyo haikuzingatia mazingira ya kuandaa uchaguzi wala kushauriana na wahusika kabla ya kutoa uamuzi huo. Kwa upande wake  waziri wa elimu professor Sam Ongeri amesema kuwa uchaguzi huo hautoathiri kwa vyovyote vile shughuli za masomo.
Last Modified: 30 Nov -0001 00:00
RSS Feeds

Programme Schedule: 26-05-2013 09:50 EAT

On Air: Tukuza Live Gospel Show

UpNext »»

13:00News Desk
13:30Sunday Animated classics
15:00Glamorosa
16:00Mbiu ya KTN
16:10Glamorosa
17:00Samantha Bridal Show

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus