KTN Leo: Ongeri issues statement on KCS

Added on November 30, -0001
Share this video on:
Waziri wa Elimu Profesa Sam Ongeri alikabiliwa na wakati mgumu bungeni, kuhusiana na kufutiliwa mbali jkwa matokeo ya wanafunzi 1000 kutoka mkoa wa Kaskazini Mashariki. Ongeri alikuwa anatoa taarifa ya wizara alipowaelezea wabunge kuwa kulikuwa na ushahidi wa kutosha kuwa watahiniwa hao walifanya udanganyifu katika mtihani huo wa ksce mwaka uliopita, na ndio sababu matokeo yao yalifutiliwa mbali.
Last Modified: 30 Nov -0001 00:00
RSS Feeds

Programme Schedule: 23-05-2013 12:24 EAT

On Air: Drive It

UpNext »»

12:30Case files
13:00News Desk
13:30IAAF Athletics
14:00Afri Screen
16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus