KTN Leo: EAC transport levy

Added on November 30, -0001
Share this video on:

Serikali ya Tanzania huenda ikaondoa ada inayoyatoza magari ya kubeba mizigo kutoka humu nchini yanayoingia nchini humo. Hatua hii  inalenga kuondoa kizuizi cha kusafiri kwa watu katika kanda ya afrika mashariki kwa mataifa yaliyo wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki. Tangazo hili litaiendeleza kanda ya afrika mashariki kibiashara. Akitoa tangazo hili katika mpaka wa kenya na tanzania hapo namanga, waziri wa jumuiya ya afrika mashariki wa tanzania samuel sitta amesema ada hiyo ilikuwa ikitatiza shughuli za kibiashara na eneo la kusini humu barani afrika. Kenya na tanzania zinafanya mikakati ya kubuni kamati katika mpaka wa namanga itakayoshughulikia shughuli za kibiashara.  Punde tu kamati hiyo itakapobuniwa biashar

Last Modified: 30 Nov -0001 00:00
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 22:04 EAT

On Air: Love 101

UpNext »»

22:30Nigerian Idol
23:15Kick off Bundesliga
23:59Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus