Japo wakenya wako katika safari ya kuelewa ukweli kuhusiana na
yaliojiri wakati wa uchaguzi mkuu mwaka wa 2007 -- 2008. Ni sharti
serikali itoe fidia kwa waathiriwa. Hayo ni matamshi ya aliyekuwa
mpatanishi mkuu koffi annan kuhusiana na uamuzi uliotolewa hapo juzi na
mahakama ya kimataifa, uliopelekea washukiwa wanne kupatikana na kesi
ya kujibu huku wawili wakiachiliwa Uhuru.