Business: Lamu Demos on port

Added on November 30, -0001
Share this video on:
Wenyeji wa Lamu hii leo wameandamana kupinga mpango wa ujenzi wa bandari mjini humo wakidai mradi huo utasababisha baadhi yao  kufurushwa kutoka katika mashamba yao. Bandari hiyo mpya inalenga kupunguza mrundiko katika bandari ya mombasa. Hata hivyo katibu wa usafiri cyrus njiru alipuuzilia mbali uwezekano wa watu kufurushwa akisema kwamba wachache watakaoathirika watalipwa fidia. Mbali na hayo kuna habari njema kwa wale ambao mizigo yao imezuiliwa bandarini mombasa kwa kushindwa kulipiwa kwani sasa, malipo yameondolewa kati ya sasa na tarehe tatu mwezi ujao.
Last Modified: 30 Nov -0001 00:00
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 00:48 EAT

On Air: CNN

UpNext »»

06:00Sunrise Live
09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon rpt
11:00Tujuane
12:00DW shift
12:30Perspective rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus