You are here: Home » Features »
Maovu ya mayaya Sehemu ya 1
Share this video:
Added on November 22nd, 2012
Kwa kawaida ni azma ya mzazi kumuona mwanawe akikuwa kuanzia siku yake ya kwanza atakapozaliwa,lakini kuna wakati hufika mzazi analazimika kumuacha mwanawe nyumbani ili aweze kuendelea na kazi zake za kawaida za kutafuta lishe. Na hivyo basi mtoto anasalia na mlezi mwengine wengi humtambua kama yaya au kama mnavyomuita mfanyikazi.wa nyumbani…..yaya huyu anakuwa macho yako na mzazi wa pili wa mtoto na hivyo basi mzazi huwa na imani kwamba kila kitu kiko shwari. Lakini waswahili wanasema sio chote king’acho ni dhahabu,je unafahamu ni mangapi yanayotendwa nyakati ambazo hakuna mwenye nyumba?.

Recommended Videos

Next Video »

More Features Videos

Comment Policy
comments powered by Disqus

Find us on Social Media

Most Watched

Popular Stories